Nimefanikiwa kufungua online radio

Hongera sana Kigger. Kazi nzuri sana, ila naona bado hujaweza kuandaa vipindi. Nadhani ni hatua ambayo unatakiwa kuiwekea mipango kama vile ulivyoanza, hakuna kinachoshindikana
 
Hongera sana Kigger. Kazi nzuri sana, ila naona bado hujaweza kuandaa vipindi. Nadhani ni hatua ambayo unatakiwa kuiwekea mipango kama vile ulivyoanza, hakuna kinachoshindikana
nimeshindwa maana vifaa sina ndio maana nilikua naomba mnisaidie nipate laptop mic vinatosha kuanzia mi najitahidi nisajili tcra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…