fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
yaani sio asijinyee,aangalie wasimpakue kwenye mtaroAngalia usijinyee.
Kwan hukusikia uwoya alisema ile yake huwa anaisafisha kwa kuogea maziwa fresh daily..nafikir itakua ina supply protini nying ukiacha utamuMil 50 kwa kulala na mwanamke tu?
Is that thing that expensive??
Hongera kwa kuzipata. Ukihitaji kijana wa kusimamia miradi yako, nipo hapa.
Naweza kuwa hata shamba boy
Unaweza kuta hata geto hana analalamika dagoafu unakuta mwzmba kama mm tu yupo zake geto kafungulia bufa lake anaskilizia michongo anaamua kuchangamsha kijiwe kidogo
π€£π€£sio powa hyo ndo wqnaita raha jipe mwenyeweUnaweza kuta hata geto hana analalamika dago
Mdogo wangu chizi maarifa umeshakunywa chaiKwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji.
Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi ambayo naenda fanya ili hitaji milion 350 tu. But niliongeza ili kiasi hicho kingine niweze fanyia mambo mengine ya ku enjoy life.
Najua kwa pesa hizo nikisafiri nje ya nchi maea 5 tu narudisha kwa kiwango kikubwa sana. Uzuri sisi tukisafiri tunalipwa per diem mara 2. ya ndani ya nchi na nje. Then imagine nakaa miezi 2 sometimes nje ya nchi.
So wadau tufanyeni kazi. Tuache kulalamika au kumlaumu rais. Pesa zipo ni uzembe wa watanzania wengi ndo issue.
Mwaka mchanga π€£π€£π€£Ikiwa mwisho wa mwezi au mwanzo wanasema mwezi mchanga, ikiwa mwisho wa Mwaka wanaitaje?
πππItakua changamoto inayomkabili mwamba ndo hyoMwaka mchanga π€£π€£π€£
Mwamba ni joined 2013Nashauri JamiiForums ianzishe Jukwaa huru la watoto.
Utoto haupimwi kwa umri bali kwa akili.Mwamba ni joined 2013
Sawa bilioneaπππItakua changamoto inayomkabili mwamba ndo hyo
ππππKaka tuchatSawa bilionea
Namsikitikia mzazi wako anayehangaika kukutafutia ada. Anyway, mna week mbili za kutuvuruga kabla ya kufungua shule.Kwenye list yangu namba 1 nimemweka Irene Uwoya. Huyu nimetenga mil 50 nimle na nyingine zitakaZo baki kuna wadada wengine 3 hawa mmoja naye ni muigizaji wengine si waigizaji.
Mkopo umefanikiwa juzi. Nimewekewa kwenye account yangu. Nikawaza hapa lazima nijipongeze. Si kitu kidogo. Miradi ambayo naenda fanya ili hitaji milion 350 tu. But niliongeza ili kiasi hicho kingine niweze fanyia mambo mengine ya ku enjoy life.
Najua kwa pesa hizo nikisafiri nje ya nchi maea 5 tu narudisha kwa kiwango kikubwa sana. Uzuri sisi tukisafiri tunalipwa per diem mara 2. ya ndani ya nchi na nje. Then imagine nakaa miezi 2 sometimes nje ya nchi.
So wadau tufanyeni kazi. Tuache kulalamika au kumlaumu rais. Pesa zipo ni uzembe wa watanzania wengi ndo issue.
Upo marekani nn now kama roma mkatolikiππππKaka tuchat