Nimefanikiwa kutoroka

Nimefanikiwa kutoroka

Karibu....na utuelezee vizuri kuhusu kofia za kwenu... Isije ikawa kofia za milembe, nashauri urudi au usiivue na kuitoboa huenda utakuwa hujamaliza dozi....anyway maliza chai uje utusimulie
Wapo wenye digree zao lakini wanapelekeshwa na mwenye vyeti feki. Siwezi kuendelea na hiyo kofia. Na kizuri zaidi anayevisha watu kofia ndo kanitonya ili nitoroke nisivishwe hiyo kofia.
Ni wachache watakaonielewa ila hao wachache watasaidia wengi kutoroka.
 
kweli kila mtu anapigwa na maisha kwa style yake...

wengine huanza kutanga na nyika kama mleta mada....hujajikomboa hata kidogo

nenda kavae kofia upeleke ugali nyumbani... huku wengi watakusapoti lakn ndio wataokucheka pindi huyo mke uliyemuacha atakapokukimbia kwa kukosekana ugali nyumban
 
Siamini kama nyumbani kunaweza kukosa ugali. Nilichoamua ni bora kuliko kuendelea kutoa ugali kwa familia yangu alafu nafsi yangu ikaangamia. Narudia .. hizi kofia wanazovishwa vijana zinawapunguzia uwezo wa kufikiri kwa sababu karibia kila kitu wanapewa.
Hata Paka akizoea kuurushiwa mizoga ya panya hawezi tena kuwinda panya.
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] mbona kama deo kisandu huyu
 
Siamini kama nyumbani kunaweza kukosa ugali. Nilichoamua ni bora kuliko kuendelea kutoa ugali kwa familia yangu alafu nafsi yangu ikaangamia. Narudia .. hizi kofia wanazovishwa vijana zinawapunguzia uwezo wa kufikiri kwa sababu karibia kila kitu wanapewa.
Hata Paka akizoea kuurushiwa mizoga ya panya hawezi tena kuwinda panya.
he heee " usikute huyo nae nimvaa kofia
 
Ufafanuzi ...
Kile kinachojazwa kwenye akili za vijana wetu ili wawe waoga kuuliza maswali. Waaminishwe kuwa nchi yetu ina amani, nchi yetu ni tajiri lakini wananchi wake ni maskini - hiyo ndo kofia ambayo vijana wengi wa tanzania wamevaa.
 
Wachache watakaonielewa ... ila kiuhalisia ni kwamba kuna umri fulani viongozi wetu wanakuwa kama wamevishwa kofia ambapo maamuzi yote yanatokana na hizo kofia. Hawatumii fikra zao kisawasawa! Ukifanikiwa kutoroka kule wanapowavisha watu kofia unakuwa na uhuru wa kifikra.
Hivi tutaendelea kulalamikia ukoloni mambo leo hadi lini?
 
Back
Top Bottom