- Thread starter
- #41
Ah; nalo neno!Kwani ujui ninatafuta wenye CV ya ukichaa niwape vyeo serikalini tunaunda team milembe aka
White milembe magogoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah; nalo neno!Kwani ujui ninatafuta wenye CV ya ukichaa niwape vyeo serikalini tunaunda team milembe aka
White milembe magogoni
Hii sio hadithi; ni ukweli .. nimetoroka kabla sijavishwa kakofia ka kunifanya lofa!sijamwelewa kabisa!! Labda hadithi yake imeanzia Mwishoni!!
Wapo wenye digree zao lakini wanapelekeshwa na mwenye vyeti feki. Siwezi kuendelea na hiyo kofia. Na kizuri zaidi anayevisha watu kofia ndo kanitonya ili nitoroke nisivishwe hiyo kofia.Karibu....na utuelezee vizuri kuhusu kofia za kwenu... Isije ikawa kofia za milembe, nashauri urudi au usiivue na kuitoboa huenda utakuwa hujamaliza dozi....anyway maliza chai uje utusimulie
Siamini kama nyumbani kunaweza kukosa ugali. Nilichoamua ni bora kuliko kuendelea kutoa ugali kwa familia yangu alafu nafsi yangu ikaangamia. Narudia .. hizi kofia wanazovishwa vijana zinawapunguzia uwezo wa kufikiri kwa sababu karibia kila kitu wanapewa.kweli kila mtu anapigwa na maisha kwa style yake...
wengine huanza kutanga na nyika kama mleta mada....hujajikomboa hata kidogo
nenda kavae kofia upeleke ugali nyumbani... huku wengi watakusapoti lakn ndio wataokucheka pindi huyo mke uliyemuacha atakapokukimbia kwa kukosekana ugali nyumban
hahaa kumbe ni hiyo kazi" ...mamaee alikuwa anatumika kama jinga bora alivyokimbiaUaskari hauna maslahi bora umetoroka
hahaaKaribu....na utuelezee vizuri kuhusu kofia za kwenu... Isije ikawa kofia za milembe, nashauri urudi au usiivue na kuitoboa huenda utakuwa hujamaliza dozi....anyway maliza chai uje utusimulie
he heee " usikute huyo nae nimvaa kofiaSiamini kama nyumbani kunaweza kukosa ugali. Nilichoamua ni bora kuliko kuendelea kutoa ugali kwa familia yangu alafu nafsi yangu ikaangamia. Narudia .. hizi kofia wanazovishwa vijana zinawapunguzia uwezo wa kufikiri kwa sababu karibia kila kitu wanapewa.
Hata Paka akizoea kuurushiwa mizoga ya panya hawezi tena kuwinda panya.
Kavaa kofia huyo ... anaona ugali wa nyumbani ni zaidi ya uhuru wa fikra.he heee " usikute huyo nae nimvaa kofia
Ndo nani huyo Deo Kisandu?[emoji16] [emoji16] [emoji16] mbona kama deo kisandu huyu
Mada fikirishi!HIO KOFIA NDO AMBER RUTTY AU NAONA SJAMUELEWA MTOA MADA
Kama huwezi kufikiri - huwezi elewa lolote.Mada fikirishi!