Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
NdiyoUnauhakika una lengo la (ndoa ) kwake rafiki?
Angeomba mwanafunzi ningempa, siyo mtu mwenye miaka 25sas kaka kuombwa 15k tu unaleta uzi hum serious !!!
Ni msomi joblessKwanza Huo uombaji tu ni waakina ndala ndefu
Ndiyo 💯heee angekuomba mtaji ungempa?
Hajanijibu tenaUmebondea kitu kizito mno