MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.