Planet formula
Member
- May 16, 2022
- 28
- 38
Kanisa kweli halitanunua eneo lenye msongamano na Taaasisi nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini lengo lako hasa?
Waumini Waelewa hawana Noma ila ukikuta kuna wafia dini ndo utajua hujuiSehemu nyingi tu, msukiti na wanachangia uzio mmoja.
Inapofika siku ya mkusanyiko mkubwa wa waumini ( ijumaa au J. Pili) hakuna kuchagua parking, muislam anapaki kwenye eneo la kanisa na wakiristo wana park kwenye eneo la msikiti.
Na hakujawahi kutokea marumbano.
Wapi huko leta ushahidi ,,,huwezi kuweka msikiti na kanisa kwa kutenganishwa na ukuta Never..Kelele za Masabufa ya Gwaji Boy hayawez kuvumiliwa na waislam ht akiwa muislam mnywa pombe....zile Spika za kanisani sio za kuvumilia mtu wa swala tano NeverSehemu nyingi tu, msukiti na wanachangia uzio mmoja.
Inapofika siku ya mkusanyiko mkubwa wa waumini ( ijumaa au J. Pili) hakuna kuchagua parking, muislam anapaki kwenye eneo la kanisa na wakiristo wana park kwenye eneo la msikiti.
Na hakujawahi kutokea marumbano.
Mkuu mlokole na Muislam haswa sunni huwez kuwaweka pamoja...hata msabato na mlokole huwezi kuwaweka pamoja kwa kigezo Cha ukuta Never..hao watu Wana misimamo yao haswa...Waumini Waelewa hawana Noma ila ukikuta kuna wafia dini ndo utajua hujui
madalali wote ni washirikinaWauza viwanja wengi wachawi.
Tujenge bar na cassino kisha tuwe na nyumba ya kulala wageniKama hutojar hicho kipande kilichobak tuuzie sisi wapagani mkuu
Kuna uzi mmoja humu niliupenda Sana japo niliusoma kijuu juu ila una maana sana kwetu sisi wasiyo wafia diniCatholic na Islam ni dini moja.
Ni wapi huko Morogoro siyo? Manake huko ndiko walipo matapeli wakubwa wa ardhi wasiojali kitu na wanauwezo wa kuuza ardhi moja kwa watu kumi.Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Aliyekuambia wakristo na waislam ni maadui ni nani?Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Hayo ni yale maeneo ya zamani ambayo hayakupimwa.Lakini kwa sasa ili kupata kibali cha ujenzi wa kanisa au msikiti lazima eneo lithibitishwe kuwa ni kwa matumizi ya kanisa/msikiti.Sio Residential au Commercial alafu ujenge msikiti/kanisa, Labda ukapate Kibali cha kubadili matumizi ya ardhi.Kwa zamani iliwezekana ila kwa sasa ni ngumu.mkuu pale keko nyuma ya kota za polisi kuna kanisa na msikiti zimepakana kwa fence tu, kanisa linatazama mtaa wa mbele msikiti mtaa wa nyuma
Hayo ni yale maeneo ya zamani ambayo hayakupimwa.Lakini kwa sasa ili kupata kibali cha ujenzi wa kanisa au msikiti lazima eneo lithibitishwe kuwa ni kwa matumizi ya kanisa/msikiti.Sio Residential au Commercial alafu ujenge msikiti/kanisa, Labda ukapate Kibali cha kubadili matumizi ya ardhi.Kwa zamani iliwezekana ila kwa sasa ni ngumu.Misikiti/makanisa uku inajengwa hadi vichochoroni hiyo wizara yako imelala
Ila vile vipaza sauti ndio vya kuvumiliwa? Wewe mwehu nini?Wapi huko leta ushahidi ,,,huwezi kuweka msikiti na kanisa kwa kutenganishwa na ukuta Never..Kelele za Masabufa ya Gwaji Boy hayawez kuvumiliwa na waislam ht akiwa muislam mnywa pombe....zile Spika za kanisani sio za kuvumilia mtu wa swala tano Never
Dini moja ya wapi? Catholic hawanunui hovyo hovyo wale na hawanunui miguu miwili, wewe angalia hata humu kwenye makazi mapya wapo na maeneo yakueleweka.Catholic na Islam ni dini moja.
Jaribu kuweka hiyo bar Kama utamliza japo robo balimi kabla hujakumbana na amsha amsha...sisi hatutakagi ujinga..Ila vile vipaza sauti ndio vya kuvumiliwa? Wewe mwehu nini?
Hapo kilichobaki ni kufungua bar tu, kila mtu aingie panapomuhusu!