Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

Hakuna mwerevu wa kukubali hizo porojo za Chrislam....Maji ya chumvi na bahari hayawezi kuchanganya a Never!!!!
Hawa wamekutana kunywa kahawa? Na mkataba waliosaini Islam na Papa Ni wakunywa kahawa?
 
Attachments

  • FB_IMG_1653297359054.jpg
    FB_IMG_1653297359054.jpg
    39.9 KB · Views: 10
  • FB_IMG_1653297392423.jpg
    FB_IMG_1653297392423.jpg
    59.4 KB · Views: 8
Hawa wamekutana kunywa kahawa? Na mkataba waliosaini Islam na Papa Ni wakunywa kahawa?
Ila maadili ya hela haya ...maana Mimi mfiadini tu unaanzaje kunipeleka kanisani kirahisi hivyo...hapa lazma Kuna mchongo wa Pesa.
 
ONE WORLD RELIGION[ CHRISLAM]

Mufti Mkuu Rahmi Yaran Akisoma Dua Huku Papa Wa Kanisa Katoliki Duniani Akiitikia Ndani Ya Msikiti Nchini Uturuki, Papa Francins Nchini Uturuki Kwa Ziara Maalum, Papa Alikwenda Ktk Msikiti Wa Kale Uitwao Sultan Ahmet Mosque {Blue Mosque} Mjini Instanbul, Na Hapo Aliambatana Na Mufti Wa Instanbul Rahmi Yarani Kutembea Ndani Ya Msikiti Huo Na Baadae Mufti Huyo Kuomba Dua Huku Woote Wakiitikia Dua Hiyo Akiwemo Papa FRANCIS.

DINI ZINAZIDI KUUNGANA NA KUUNDA DINI MOJA YA ULIMWENGU

View attachment 2235368

View attachment 2235370

View attachment 2235371
KUNA UBAYA GANI WAKRISTU NA WAISLAMU WAKIUNGANA ??
 
Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Kwanini usijenge wewe hicho kipande kilicho baki? Ili upate elimu ya dini zote?.
 
Maeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!
Skwata hua anapima nani?
 
Nimeshuhudia sehemu waislamu wanang'oa msikiti kisa mbele mita 30 kuna kanisa.
Msikiti ulikuwa levo ya msingi.
Huwezi kung'oa msikiti ndungu, nadhani walifukua matofali ya msingi.
 
ONE WORLD RELIGION[ CHRISLAM]

Mufti Mkuu Rahmi Yaran Akisoma Dua Huku Papa Wa Kanisa Katoliki Duniani Akiitikia Ndani Ya Msikiti Nchini Uturuki, Papa Francins Nchini Uturuki Kwa Ziara Maalum, Papa Alikwenda Ktk Msikiti Wa Kale Uitwao Sultan Ahmet Mosque {Blue Mosque} Mjini Instanbul, Na Hapo Aliambatana Na Mufti Wa Instanbul Rahmi Yarani Kutembea Ndani Ya Msikiti Huo Na Baadae Mufti Huyo Kuomba Dua Huku Woote Wakiitikia Dua Hiyo Akiwemo Papa FRANCIS.

DINI ZINAZIDI KUUNGANA NA KUUNDA DINI MOJA YA ULIMWENGU

View attachment 2235368

View attachment 2235370

View attachment 2235371
Hii ni 570 AD?
 
Tutarajie mwezi gani hicho mnachoita HQs kitafunguliwa ?

Na ksipofunguliwa mbinywe mbupu kwa kusema uongo.
Fatilia mambo watu wameshatia na sain na jengo limekamilika

Tatizo wafia din hamsomi mnasubiri pasaka had x mass padri akusomee ANDIKO moja ,
 
Maeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!
Kwa akili yako hiyo wizara inafika kila sehem??
 
Back
Top Bottom