Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda msikiti wa Chama Cha siasaMkuu, home kwetu kuna bar, na fence yake imepakana na fence ya msikiti. Sasa sijui unaongelea amshaamsha zipi? Au mwenzetu uko Saudi Arabia?
Hii ni nchi huru asee!
Hayo utajua wewe, mimi ninachojua ni kwamba hii ni nchi huru, na inaendeshwa kwa sheria zake ambazo sio sheria za dini yoyote!Labda msikiti wa Chama Cha siasa
Believers PortalWhen
Where
How
What for
tufungue club au baaKama hutojar hicho kipande kilichobak tuuzie sisi wapagani mkuu
ONE WORLD RELIGION[ CHRISLAM]When
Where
How
What for
Kuleta umoja kwa wote hao huishi nyumba moja ya kupanga bila kugombana.Nini lengo lako hasa?
... upande mmoja ukiamua kufuga mifugo yake kama mradi hasa upande wa mpaka walipopeana migongo ndipo huwa mzuri kujenga mabanda sababu unapata advantage ya ukuta na unajua mifugo ile ikisikia njaa ambavyo huwa inapiga kelele na huku upande mwingingine wanakuwa wanasali zile sala zao za kila baada ya masaa fulani hjoni kama italeta lugha gongana?Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindioja.
Kuna mmoja lazima abadilishe matumizi ya Hilo eneo.Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Umefanya vyema maana hata majuma kadhaa nyuma watumishi hawa walicheza mechi ya kirafiki na ili kuonesha uungwana wale mabwana waliofungwa....{pamoja na kubugizwa mabao ya kutosha} walipewa kombe wakasherehekee kwenye masinagogi yao.Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Vituko vya Karne hivi...ONE WORLD RELIGION[ CHRISLAM]
Mufti Mkuu Rahmi Yaran Akisoma Dua Huku Papa Wa Kanisa Katoliki Duniani Akiitikia Ndani Ya Msikiti Nchini Uturuki, Papa Francins Nchini Uturuki Kwa Ziara Maalum, Papa Alikwenda Ktk Msikiti Wa Kale Uitwao Sultan Ahmet Mosque {Blue Mosque} Mjini Instanbul, Na Hapo Aliambatana Na Mufti Wa Instanbul Rahmi Yarani Kutembea Ndani Ya Msikiti Huo Na Baadae Mufti Huyo Kuomba Dua Huku Woote Wakiitikia Dua Hiyo Akiwemo Papa FRANCIS.
DINI ZINAZIDI KUUNGANA NA KUUNDA DINI MOJA YA ULIMWENGU
View attachment 2235368
View attachment 2235370
View attachment 2235371
Wewe hujui..!! Embu niambie msikiti ulioko Tangazo Mtwara vijijini nani alipima eneo lake.?? Na Kanisa lililoko Mbimbi kule Namtumbo nani alipima eneo lake..!?? Haya, tuseme huko ni mbali, msikiti wa Zomboko kule Mbagala karibu na kwa Juma nature, nani amepima? Umeongea kinadharia sana kuliko uhalisiaMaeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!
We kweli una nia mbaya. Tangu lini Kaswida na Mapambio yakaenda kwa biti moja?Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Huenda hajui, muacheVatican ndio iliyoanzisha uislamu.
Upo Tanzania au nje ya nchi? Tuanzie hapo kwanzaMaeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!