Nimefanikiwa kuwauzia kanisa na msikiti eneo moja

Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
Waislam dheheb gan sio sunni
 
Yaani wewe utaleta machafuko eneo hilo
 
Maeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!
Misikiti/makanisa uku inajengwa hadi vichochoroni hiyo wizara yako imelala
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom