MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kutengeneza ukaribu,Nini lengo lako hasa?
Lina ukubwa kias gani?Kutengeneza ukaribu,
Unachokitafuta .....utakipataSio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
We jamaa una akili nyingi sana.Sio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
😂😂😂😂😂😂 msaga SumuSio kwamba nimefanya utapeli wa kuuza eneo moja mara mbili, la hasha. Nilikuwa na eneo dogo nimeligawa mara mbili upande mmoja nimewauzia waislamu upande mwingine wamechukua kanisa, nimefanya hivyo bila mmoja kujua taarifa za mwenzake. Wote wamedai wanajenga nyumba za ibada.
Ni wakati sahihi wa hizi dini mbili kuwa karibu. Kuna kipande kidogo kimebaki nataka kuwapatia wahindi.
mkuu pale keko nyuma ya kota za polisi kuna kanisa na msikiti zimepakana kwa fence tu, kanisa linatazama mtaa wa mbele msikiti mtaa wa nyumaMaeneo ya kuabudia kama kanisa na misikiti hupimwa na kuidhinishwa na wizara ya ardhi kwa matumizi hayo! Hivyo acha kutudanganya.Labda kanisa la matuŕbai na vitu viwili au msikiti wa mtu mmoja!