Nimefanya booking online (SGR) ila sina kitambulisho

Nimefanya booking online (SGR) ila sina kitambulisho

Paul dybala

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2023
Posts
524
Reaction score
2,097
Wakuu naombeni mnijuze, wataniruhusu kusafiri? Mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho, sasa safari ni kesho kutoka Dodoma hadi Dar. Baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya mwisho inakuja ikisema natakiwa nifike masaa mawili kabla pia niwe na kitambulisho
 
Wakuu,,...naombeni mnijuze...wataniruhusu kusafiri...?mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho...sasa safari ni kesho kutoka dodoma hadi dar ...baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya mwisho inakuja ikisema natakiwa nifike masaa mawili kabla pia niwe na kitambulisho
Duh,
Ukiritimba wa serikali ni wa ajabu sana.

Kama safari ni ya muhimu jiandae mapema kwa usafiri mwingine kama mambo yakibuma huko upande basi tu mambo yasiwe mengi
 
Kwahyo risiti inatoka kwa kujaza majina tu ya mimi annonymously hidden man na wala haihitajiki nida au namba ya kitambulisho au copy ya kitambulisho. Na risit inatoka. Halafu ukienda kupanda steshen unatakiwa uwe na risit uliyoilipia na uwe na kotambulisho pembeni.

Mbona kama akili ya kawaida tu inakataa hapa kuna mlolongo usiohitajika.

Nafikiri kwenye kukata tiket online ilitakiwa waweke sehemu utume attachment ya vitambulisho na namba ya nida bas ndio itoe majina sio kuandika mimi jina langu masumbwele kitufetumbo
 
Back
Top Bottom