Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Wakuu naombeni mnijuze, wataniruhusu kusafiri? Mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho, sasa safari ni kesho kutoka Dodoma hadi Dar. Baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya mwisho inakuja ikisema natakiwa nifike masaa mawili kabla pia niwe na kitambulisho