Nimefanya booking online (SGR) ila sina kitambulisho

Nimefanya booking online (SGR) ila sina kitambulisho

Tafuta kiongozi wa mtaa akuandikie karatasi
 
Hili swali nilikua najiuliza, wale ambao sio Watanzania hawana kitambulisho chochote kuhusu SGR inakuwaje?
Hakuna mgeni ambaye siyo raia atakayekuwa hana kitambulisho. Ameingiaje hapa nchini? Kwa njia za panda au kwa utaratibu gani?
 
Hakuna mgeni ambaye siyo raia atakayekuwa hana kitambulisho. Ameingiaje hapa nchini? Kwa njia za panda au kwa utaratibu gani?
Kwa njia za panya ila hajawahi kua na rekodi yoyote ya ualifu na ana miaka zaidi ya 20.
 
Back
Top Bottom