Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Ndio na Wana nida zao spesho ujue😎Mmh mambo hayawezi kua mengi kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio na Wana nida zao spesho ujue😎Mmh mambo hayawezi kua mengi kweli?
Twenzetu Paris basi 😎Bakini na treni yenu.
Hela unayo?Twenzetu Paris basi 😎
Zipo kama zote 😎Hela unayo?
PassportHili swali nilikua najiuliza, wale ambao sio Watanzania hawana kitambulisho chochote kuhusu SGR inakuwaje?
Safi sana mkuu, umejiongezaNa mimi nimetumia njia hiyo, nimesafiri muda huu nipo Morogoro, nimetoka ile ya saa 14:10 Dom-Moro sikuwa na kitambulisho cha kazi wala cha taifa wameniruhusu.
Hakuna mgeni ambaye siyo raia atakayekuwa hana kitambulisho. Ameingiaje hapa nchini? Kwa njia za panda au kwa utaratibu gani?Hili swali nilikua najiuliza, wale ambao sio Watanzania hawana kitambulisho chochote kuhusu SGR inakuwaje?
Kwa njia za panya ila hajawahi kua na rekodi yoyote ya ualifu na ana miaka zaidi ya 20.Hakuna mgeni ambaye siyo raia atakayekuwa hana kitambulisho. Ameingiaje hapa nchini? Kwa njia za panda au kwa utaratibu gani?