Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Duh,Wakuu,,...naombeni mnijuze...wataniruhusu kusafiri...?mimi sikuwa najua kama unatakiwa uwe na kitambulisho...sasa safari ni kesho kutoka dodoma hadi dar ...baada ya kukamilisha taratibu zote ndio meseji ya mwisho inakuja ikisema natakiwa nifike masaa mawili kabla pia niwe na kitambulisho
Abebe kadi ya CCM inaeza msaidia.Cheti cha kuzaliwa huna?
tena awahi, mda huu ofisi wengi wameshafunga.kachukue barua ya utambulisho serikali ya mtaa inatosha nimeishawakatia vijana wengi tu
Mimi huwa na leseni tu ndio hio ambayo sijatembea nachoPassport au kitambulisho cha kupiga kura pia huna? Au leseni?
Huna hata soft copy mkuu?Mimi huwa na leseni tu ndio hio ambayo sijatembea nacho
Kama siyo Mtanzania, tunategemea uwe na hati yako ya kusafiria.Hili swali nilikua najiuliza, wale ambao sio Watanzania hawana kitambulisho chochote kuhusu SGR inakuwaje?
Mtu ameishi Tz zaidi ya miaka 20 hajawahi kutoka kwenda nje ya Tz hana passport.Kama siyo Mtanzania, tunategemea uwe na hati yako ya kusafiria.
Wale si wana vile vibali vya makazi ndio documents zao za utambulishoHili swali nilikua najiuliza, wale ambao sio Watanzania hawana kitambulisho chochote kuhusu SGR inakuwaje?
Mmh mambo hayawezi kua mengi kweli?Wale si wana vile vibali vya makazi ndio documents zao za utambulisho
Huyo tutamkabidhi kwa watu wa uhamiaji. Maana kwa miaka hiyo tunategemea atakuwa ameshajipenyeza kuomba kadi ya ccm, kitambulisho cha mpiga kura, nk.Mtu ameishi Tz zaidi ya miaka 20 hajawahi kutoka kwenda nje ya Tz hana passport.
Bakini na treni yenu.Huyo tutamkabidhi kwa watu wa uhamiaji. Maana kwa miaka hiyo tunategemea atakuwa ameshajipenyeza kuomba kadi ya ccm, kitambulisho cha mpiga kura, nk.
Ukisusa wenzako wanakula.Bakini na treni yenu.
Na mimi nimetumia njia hiyo, nimesafiri muda huu nipo Morogoro, nimetoka ile ya saa 14:10 Dom-Moro sikuwa na kitambulisho cha kazi wala cha taifa wameniruhusu.Usiogope utasafiri tu ila ukifika waombe waambie umekisahau nyumbani watakuruhusu. Wakikataa nipigie simu.