Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Anyway lakini poa tu.

Nimetoka kukata ticket hapa Morogoro nina safari ya Mwanza kesho. Ghafla nikawaza toka mwaka uanze sijakaa siti moja na pisi kali. Kila nikisafiri nakaa na mabroo tu.

Ghafla nikapata akili,hivi siwezi kumpa tip agent aniweke siti moja na pisi kali? Nikajitoa ufahamu,nimempa agent buku 3 ili akipata pisi kali inakuja kukata tiketi aiambatanishe hapo kwenye siti yangu.

Agent nakutegemea sana broo. Kesho nitawapa feedback yatakayojiri
 
Najaribu kukumbuka...

"Haya.. penalty inatengwa na mpigaji Ni Sunzu, sunzu na kado..Ni Sunzu na Kado...haya..1...2....napigaa goooooooooooooool"

Sijui ni mwaka gani🀣🀣🀣
 
Wasukuma hooyeeeeeeeee 🀣🀣🀣🀣🀣

Usiwe na mkono wa birika tuu.

Kwa kujiandaa kanunue chocoleti mkianza safari tuu mpe. Pia uwe na apple baadae baadae mpe apple. Break point mnunulie lunch hadi mfike Mwanza atakuwa keshawapigia ndugu zake wote kuwa kapata mume.

Kisha wewe fanya yako vile ulivyojipanga.
 

Siri ya mbele kabisa nikisubiri mrejesho!
 
Maajenti wapuuzi sana, walinilia buku mbili hivi hivi kwenye Shabiby Ubungo! Muda wa kuondoka kaniletea kibibi sijui kina kisirani gani, sitaki tena huo ujinga. Ukumbuke ajenti yeye anabaki stand
 
Unakulaje vitu unapewa na mtu humjui
 
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nime screen haya material, yanaweza kunilipa
 
Maajenti wapuuzi sana, walinilia buku mbili hivi hivi kwenye Shabiby Ubungo! Muda wa kuondoka kaniletea kibibi sijui kina kisirani gani, sitaki tena huo ujinga. Ukumbuke ajenti yeye anabaki stand
haaa haaa usikate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…