Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Umenikumbusha mwaka 2012,nasafiri nimekaa dirishani, pembeni kakaa Dada mmoja na siti za nyuma wamekaa wadogo zake. Kufika mpaka mmoja na nchi ya malawi, kasumulu nadhani, gari ikasimama akawa anaagiza vitu nje kwa wafanyabiashara wanaopita madirishani awape wadogo zake, wakawa wameshika hivo vitu ili awape hela wampe hizo zaga, ile anaangaika kutoa fedha gari inataka ondoka.Nikavichukua nikatoa fedha nikawapa, zile Zaga nikamkabidhi nikimwambia pesa aachane nayo.
Hapo nimejidunga konyagi nasikiliza nyimbo kwenye earphones kupitia simu,ghafla nikatoa earphone upande mmoja nikampa nae awe anasikiliza, confidence ya konyagi hio.... Konda kupita nikatoa ten nikampa, nauli ni 4500 ila yeye akanirudishia 1000 akijua niko na yule dada cuz katuona tumeshea ear phones, maana yake akakata ya wawili, nikamchunia tu. Kesho yake alinitafuta yule Dada
Mweeeh ndaga fijooo....
Ulimpatamo mdada kiuteleziiii.......
Ndio maana uko kamjanja saanaaa ...!!😜