Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

Umenikumbusha mwaka 2012,nasafiri nimekaa dirishani, pembeni kakaa Dada mmoja na siti za nyuma wamekaa wadogo zake. Kufika mpaka mmoja na nchi ya malawi, kasumulu nadhani, gari ikasimama akawa anaagiza vitu nje kwa wafanyabiashara wanaopita madirishani awape wadogo zake, wakawa wameshika hivo vitu ili awape hela wampe hizo zaga, ile anaangaika kutoa fedha gari inataka ondoka.Nikavichukua nikatoa fedha nikawapa, zile Zaga nikamkabidhi nikimwambia pesa aachane nayo.
Hapo nimejidunga konyagi nasikiliza nyimbo kwenye earphones kupitia simu,ghafla nikatoa earphone upande mmoja nikampa nae awe anasikiliza, confidence ya konyagi hio.... Konda kupita nikatoa ten nikampa, nauli ni 4500 ila yeye akanirudishia 1000 akijua niko na yule dada cuz katuona tumeshea ear phones, maana yake akakata ya wawili, nikamchunia tu. Kesho yake alinitafuta yule Dada

Mweeeh ndaga fijooo....

Ulimpatamo mdada kiuteleziiii.......

Ndio maana uko kamjanja saanaaa ...!!😜
 
😂😂😂😂😂😂😂😂
Maajenti wapuuzi sana, walinilia buku mbili hivi hivi kwenye Shabiby Ubungo! Muda wa kuondoka kaniletea kibibi sijui kina kisirani gani, sitaki tena huo ujinga. Ukumbuke ajenti yeye anabaki stand
 
Dah, nilipewa siti moja na pisi kali agent wa shabiby kutoka Mtwara to dodoma via dar kabla haujasitisha huduma.
Sikuwa na mbwembwe kilichomchanganya iPhone 8+ red kipindi ndio zinaingia, safari ilikuwa tamu sana
 
Maajenti wapuuzi sana, walinilia buku mbili hivi hivi kwenye Shabiby Ubungo! Muda wa kuondoka kaniletea kibibi sijui kina kisirani gani, sitaki tena huo ujinga. Ukumbuke ajenti yeye anabaki stand
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnaliwa pesa kwa kuwaza ujinga , kwan hizo pis kali kitaan kwenu hazipo
 
Anyway lakini poa tu.

Nimetoka kukata ticket hapa Morogoro nina safari ya Mwanza kesho. Ghafla nikawaza toka mwaka uanze sijakaa siti moja na pisi kali. Kila nikisafiri nakaa na mabroo tu.

Ghafla nikapata akili,hivi siwezi kumpa tip agent aniweke siti moja na pisi kali? Nikajitoa ufahamu,nimempa agent buku 3 ili akipata pisi kali inakuja kukata tiketi aiambatanishe hapo kwenye siti yangu.

Agent nakutegemea sana broo. Kesho nitawapa feedback yatakayojiri
Pisi kali[emoji196][emoji196][emoji196]
giphy.gif
 
Anyway lakini poa tu.

Nimetoka kukata ticket hapa Morogoro nina safari ya Mwanza kesho. Ghafla nikawaza toka mwaka uanze sijakaa siti moja na pisi kali. Kila nikisafiri nakaa na mabroo tu.

Ghafla nikapata akili,hivi siwezi kumpa tip agent aniweke siti moja na pisi kali? Nikajitoa ufahamu,nimempa agent buku 3 ili akipata pisi kali inakuja kukata tiketi aiambatanishe hapo kwenye siti yangu.

Agent nakutegemea sana broo. Kesho nitawapa feedback yatakayojiri
Washabiki wa simba na Tundu Lissu hao
 
Maajenti wapuuzi sana, walinilia buku mbili hivi hivi kwenye Shabiby Ubungo! Muda wa kuondoka kaniletea kibibi sijui kina kisirani gani, sitaki tena huo ujinga. Ukumbuke ajenti yeye anabaki stand
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ndio wewe! nishampa bibi mmoja siti karibu yako, subiri kesho uone.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom