Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

kwa nondo hizi huyo manzi akichomoa basi tena
 
Najaribu kukumbuka...

"Haya.. penalty inatengwa na mpigaji Ni Sunzu, sunzu na kado..Ni Sunzu na Kado...haya..1...2....napigaa goooooooooooooool"

Sijui ni mwaka gani🀣🀣🀣
Hiyo 2011 ndiyo najiunga JF nikisomea comments za wakuu kupitia desktop za internet cafe. balaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ndio wewe! nishampa bibi mmoja siti karibu yako, subiri kesho uone.
acha roho mbaya,kwani nikipiga we utapungukiwa nini 🀣🀣
 
Mimi sikuli ila pengine anaweza letewa pisi inayokubali kula baada ya kukaribishwa kwa upendo na kubembelezwa ....!😊
Hivi hamfungi kwaajiri ya korona,hamtaki kumtii baba yenu kwa siku 3 hizo
 
Maajenti wapuuzi sana, walinilia buku mbili hivi hivi kwenye Shabiby Ubungo! Muda wa kuondoka kaniletea kibibi sijui kina kisirani gani, sitaki tena huo ujinga. Ukumbuke ajenti yeye anabaki stand
[emoji1787][emoji1787]
 
Maajenti wapuuzi sana, walinilia buku mbili hivi hivi kwenye Shabiby Ubungo! Muda wa kuondoka kaniletea kibibi sijui kina kisirani gani, sitaki tena huo ujinga. Ukumbuke ajenti yeye anabaki stand
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 pole
 
Aah wap..πŸ˜‚
 
Umenikumbusha mwaka 2012,nasafiri nimekaa dirishani, pembeni kakaa Dada mmoja na siti za nyuma wamekaa wadogo zake. Kufika mpaka mmoja na nchi ya malawi, kasumulu nadhani, gari ikasimama akawa anaagiza vitu nje kwa wafanyabiashara wanaopita madirishani awape wadogo zake, wakawa wameshika hivo vitu ili awape hela wampe hizo zaga, ile anaangaika kutoa fedha gari inataka ondoka.Nikavichukua nikatoa fedha nikawapa, zile Zaga nikamkabidhi nikimwambia pesa aachane nayo.
Hapo nimejidunga konyagi nasikiliza nyimbo kwenye earphones kupitia simu,ghafla nikatoa earphone upande mmoja nikampa nae awe anasikiliza, confidence ya konyagi hio.... Konda kupita nikatoa ten nikampa, nauli ni 4500 ila yeye akanirudishia 1000 akijua niko na yule dada cuz katuona tumeshea ear phones, maana yake akakata ya wawili, nikamchunia tu. Kesho yake alinitafuta yule Dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…