Nimefanya jambo la kijinga sana,sijui agent ananifikiriaje

ningekuwa mm agent ningekukatia siti na mjamzito.. πŸ˜•
 
Sasa nimeelewa......

Ilikuwa nikisikia mtu amebaka mfugo nilikuwa nashundwa kuelewa..... anaanza anzaje....
🀣🀣 Wabakaji watakupeleka mahakamani kuiita tamu zao mifugo tengua kauli mkuu.
 
🀣🀣 Wabakaji watakupeleka mahakamani kuiita tamu zao mifugo tengua kauli mkuu.

Meeeeeehh.....

Ndo maana akakuita kiberengeee....πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Binafsi huwa nikisafiri napata bahati ya kukaa na wadada, mpaka Menyu huwa wananinunulia mpaka najishtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…