Nimefanya Maamuzi Sahihi na Makini Niliyoahidi Takribani Saa 72 zilizopita, Naelekea ....

Go Ben go Ben nakuamini na nakuombea kwa Mungu ili chama kikupitishe naelewa sana harakati zako kaka Mimi nakuandalia barabara ya kuelekea Bungeni kwa maombi.
 
Chadema wanjitapa kuwa wameanza na Mungu, Mungu gani wanayeshindwa kumtambua ktk mabandiko yao na kazi zao kwa ujumla.

Usilete siasa katika wazo langu.Wazo langu ni la kibinadamu zaidi na wala halihitaji siasa hata kidogo.
 
kila la heri bwana Mkubwa maelezo yako yanaonesha kweli unania mimi nakuunga mkono kama kijana mwenzangu.
 
Acha uvivu! Anapitia njia ya Rombo kuelekea Bungeni Dodoma.
Hata mimi sikuona Jimbo. Kwa hiyo Joseph Selasini hatoshi? Rafiki yangu Selasini naona umeingiliwa jimboni. Nasikia Selasini alipambana sana kwenye serikali za mitaa na kusababisha CDM kupata ushindi mnono.
 

Naam! Binafsi nawapenda sana makamanda wawili humu ndani, Ben saanane na Yericko Nyerere. Naunga mkono hoja.
 
Last edited by a moderator:
kila la heri bwana Mkubwa maelezo yako yanaonesha kweli unania mimi nakuunga mkono kama kijana mwenzangu.
Afadhali Ben katoa maelezo kuonyesha kweli anautaka ubunge, siyo yule wa Singida aliyeleta story za ajali wakati anatangaza nia.
 
Hivi ni kweli ulitumwa na wenye chama kumuua zitto kina Shonza wakakustukia?
 
Sasa wale wanojifanya marafiki wa Ben na wakamtukana sana humu JF mpoooo?
 
safari ni hatua... Mungu akutangulie Ben....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…