LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Acha uvivu! Anapitia njia ya Rombo kuelekea Bungeni Dodoma.
Kila la kheri brother @BenSaanane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uvivu! Anapitia njia ya Rombo kuelekea Bungeni Dodoma.
Hayo ndiyo maamuzi magumu ukiyosema?
Hayo ndiyo maamuzi magumu ukiyosema?
Safari yako ni safari yangu, Safari yangu ni safari yako, Safari yetu ni safari ya Watanzania.
Twende Bungeni na Ben Saanane!
Chadema wanjitapa kuwa wameanza na Mungu, Mungu gani wanayeshindwa kumtambua ktk mabandiko yao na kazi zao kwa ujumla.
Hata mimi sikuona Jimbo. Kwa hiyo Joseph Selasini hatoshi? Rafiki yangu Selasini naona umeingiliwa jimboni. Nasikia Selasini alipambana sana kwenye serikali za mitaa na kusababisha CDM kupata ushindi mnono.Acha uvivu! Anapitia njia ya Rombo kuelekea Bungeni Dodoma.
Yericko Nyerere, this is high time, kwa wewe pia kutangaza nia! Tumekusoma sana, uaminifu wako katika chama chako, tunakukubali, tunakuhitaji wewe pia uende bungeni ili uweze kutumika kwa upana zaidi!
Unatuahidi nini Yericko?
Wapenda mabadiliko chanya wengine, je mnaniunga mkono kwa hoja hii kwa Yericko?
Afadhali Ben katoa maelezo kuonyesha kweli anautaka ubunge, siyo yule wa Singida aliyeleta story za ajali wakati anatangaza nia.kila la heri bwana Mkubwa maelezo yako yanaonesha kweli unania mimi nakuunga mkono kama kijana mwenzangu.
ni kweli kabisa.Afadhali Ben katoa maelezo kuonyesha kweli anautaka ubunge, siyo yule wa Singida aliyeleta story za ajali wakati anatangaza nia.
Yericko Nyerere, Asante sana komredi wangu