Miili ya watu ni SAwa na gazette siku hizi unasoma gazette lolote utakalo, stress ni nyingi kutunukiwa ni jambo la kawaida
 
"Jamaa yake hana shida ni mpole", hii kauli ndiyo huwa inaambatana na risasi saba, gunia la mkaa pamoja na kuchinjwa! Watu kama hao wanaweza kukuuliza kirahisi tu ukamdanganya kumbe anajua kabisa unatiwa sama bado anatafakari adhabu ipi itakufaa!
Kwenye mambo yako yote, fanya kabisa ukijua upo unafuatiliwa!
 
Namjua huyo Demu anaitwa V anangoma kitambo sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio yeye kabisa na huwa hakatai mtu.
 
Daah ndoman sipendagi mazoea na mashemeji zangu mwisho nikawakula wakijiless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…