Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home.

Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa.

Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee.
 
Ongeza mke mkuu mpe promotion huyo housegirl
 

Ulimtawanya nini? Mikono?
 


Its the last thing i will do alive
 
ndo ujue hasara za kuchepuka ,siulisema kubaki njia kuu foleni haya sasa umekutana na mjeda
 
una mapepo unahitaji msaada

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…