Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Utaanzia housegirl mwisho wake binti yako. House girl, jirani, rafiki wa mkeo na workmate wakwepe kama ukoma.
 
.,,ukamtawanya.,, hahaha,, umenikumbusha mazingira flan, huenda tushawah kuwa sehem moja
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

Are you alright?wewe ni Mzima?
 
Ulikosa nini kwa mkeo hadi kwenda kumparamia mdada wa watu?
 
Tyta njoo huku!
Si ajabu akawa fomu foo liva huyu halafu anatuzingua tu hapa!
 
Last edited by a moderator:
we blessings umerogwa? yaani umeenda kumgegeda housegirl kweli? mbona haiingii akilini ndugu yangu ndo tama au?

To men all women are equal, kwa wanaume kauli kama hiyo ya kutaka tena huwa inawapagaisha sana wanaume. Wanawake wengi wa kwenye ndoa ndipo wanapokosea.
 
Hakianani wanaume nyie mmelaaniwa,hivi huoni aibu eti unamgegeda dada wa kazi,kwanza atapungyza heshima kwa mkeo,na zaidi umekaribisha matatizo ndani ya nyumba,
 
Wadau hapa juzi kati niliingia tama nikamtawanya housegirl wetu hapa hom. sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa. Duuh Najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee!!!

TeamHousegirl
 
Wewe huna akili kweli.......halafu unakuja kuhadithia huku unadhani ni kitu cha maana sana, mzinzi wewe...
 
unasali kwa yule jamaa anayepita-pita ubungo?
(ati ukiwa na house girl na ucpompiga ni dhambi)

Hahahaha umenikumbusha mbali sana,yule jamaa wa Ubungo inatakiwa akipanda mabasi atozwe nauli uone kama atarudi na pumba zake za kijinga,anasema eti ukiwa na shemeji amekaa kwako wakati hana kazi inatakiwa uzae nae la sivo unatenda dhambi,yule jamaa yule ni mshenzi sana angekuwa nchi zilizo serious ambapo hakuna freedom of speech angekuwa ashapotezwa
 
Back
Top Bottom