Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NN asante umeniweza kweli.............
Nitakuwa naazia conclusion kisha sehemu zingine ..
Ooh come on lady...loosen up....hivi kweli kwa akili yako unadhani ingekuwa ni kweli imetokea hivyo ningekuja hapa kuandika? Hebu itumie vizuri hiyo cerebral cortex ya ubongo wako bana aaaah
Hii ni ndoto tu....kwa hiyo kuota nimeota kweli ila tendo lenyewe halikutokea katika real time....
Hahahahahahahahahaha
nimemjua uliye muota
daaaaaah
i am smart enough to know
hii sio ndoto lol
Lol. Mentor The kind of girl u'd walk out on a date just after she goes to the ladiez room! Infact unaacha na note "DONT CALL ME, AM GONNA CALL U!"
Yaani kabla sijamalizia kuisoma nilikua nishachuja majina kadhaa ya mabinti wa jf amboo ndo posible...mara ndoto,dah