Nimefanya mapenzi na Mwanamke wa JF!

Nimefanya mapenzi na Mwanamke wa JF!

Status
Not open for further replies.
Am not sure nimekusoma! hiki kizungu..na uchokozi nilianza mm.
please lower your acoustic impudence so we can coomunicate perpendicularly.
Haya Mentor lets "coomunicate"! Hehe
 
Last edited by a moderator:
Sabalkheri wana JF wenzangu. Natumaini wote mlikuwa na wikiendi njema kabisa na mmeamka Jumatatu hii wenye nishati nyingi za kutosha kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo la hii nchi yetu pendwa.

Baada ya takribani miaka minne na nusu hatimaye Jumamosi hii iliyopita nilishawishiwa kutoka na kwenda kiwanja kujirusha. Kwa zaidi ya miaka mitano mimi na kujirusha hatujawa beneti kihivyo. Lakini wikiendi hii nimevunja huo mwiko.

Basi bana sisteri mmoja wa hapa JF akanipigia simu ile Jumamosi jioni akinitaka tukutane New Maisha club (sijui ndio inavyoitwa hivyo...wenye kujua saidieni). Nikasita kidogo kwani kama nilivyosema mimi kujirusha sio zangu kabisa. Lakini kwa ajili yake nikakubali.

Nikajipiga sopusopu na baada ya hapo nikaingia kwenye mchuma huyo nikaenda kumpitia. Nikamkuta naye kajikwatua kwelikweli...naona hakutaka mchezo siku hiyo. Akaingia kwenye mkebe nami nikapiga moto chini. Nadhani allipenda cologne niliyokuwa nimepakaa maana usiku mzima hakuacha kunipa compliments....'mmm jamani Ngabu unanukia vizuri...umepakaa nini?'....'Aaah nimepakaa Cartier Roadster Sport exclusive kutoka Nieman Marcus'....akasema kwa mshangao 'wee Ngabu sikuwezi...yaani hata cologne unanunulia Nieman Marcus!!'

Kuifupisha hadithi ndefu, tukaingia zetu hapo Maisha. Tukajirusha....vinywaji vya hapa na pale...yeye ni mpenzi wa Long island iced tea na mimi mtu wa bia tu. Basi tukafurahia usiku wetu halafu tukaondoka. Alikuwa kachoka na hakutaka nimrudishe kwake. Basi tukaenda wote kwangu.

Tukafika nyumbani tukaenda moja kwa moja chumbani. Tukachojoa mavazi tukapanda kitandani. Mara mwenzangu akaniambia anasikia baridi....mwanamume nikajua leo hapa kitu na boksi. Basi nikaanza kumtomasa tomasa hapo na jambo moja likapelekea jambo jingine na hatimaye nikajikuta niko juu ya kiuno chake na kilichofuatia baada ya hapo tumia imagination yako.

Shughuli ikawa ndio imeanza kukolea sasa. Mazee nilikuwa nagusa engo zote...kaskazini, kusini, mangharibi (sio magharibi), mashariki, kaskazini mangharibi, kusini mashariki...yaaani wewe acha tu. Mashine yake ilikuwa bomba sijapata kuona. Inavyoelekea ilikuwa haijapenyezwa kwa muda maana kitu kilikuwa taiti.

Sasa wakati karibia nafikia kilele mara ghafla bin vuuu nikaamka toka usingizini bana. Baada ya kutahamaki nikagundua kumbe nilikuwa ndotoni bana....aisee niliudhika sana na nikabaki kufyonya na kutukana. Yaani yale maraha yote kumbe nilikuwa naota bana...aaah basi hata kulala sikuweza tena. Ikabidi niamke tu nianze kuangalia tivii na ku-browse JF.

Hiyo ndio ilikuwa ndoto yangu ya usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili. Narudi zangu kwenye maboksi na tutaonana tena mwezi Oktoba nitakaporudi kutumia haki yangu ya kikatiba siku ya 31 mwezi huo.

Hii mbona haijakaa kindoto ndoto......mmmhhh we haya wee
 
Spiritual wife................!!!!
Go for deliverance...
 
Duh unamuwaza sana mtoto nini?

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Hizi ni bangi za Atlanta au Texas?

Matola..Tokea kuberi kuwa hadimu mitaan na pia kupatikana kwa taabu tena kwa bei ghali vijana wengi wamedumbukia ktk ulevi wa ugoro si mshangai huyu na story yake tumsamehee bure
 
duh, huyu jamaa kweli ni NYANI, hata mawazo yake yanaendana nae!
 
Nitakuwa naanzia kusoma chini kwenda juu;
Ndo nini hivi lakini Nyani Ngabu.

Nshajua kuwa ulikuwa na amu kumbe ni
ndoto, mweee.
 
Last edited by a moderator:
Sabalkheri wana JF wenzangu. Natumaini wote mlikuwa na wikiendi njema kabisa na mmeamka Jumatatu hii wenye nishati nyingi za kutosha kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo la hii nchi yetu pendwa.

Baada ya takribani miaka minne na nusu hatimaye Jumamosi hii iliyopita nilishawishiwa kutoka na kwenda kiwanja kujirusha. Kwa zaidi ya miaka mitano mimi na kujirusha hatujawa beneti kihivyo. Lakini wikiendi hii nimevunja huo mwiko.

Basi bana sisteri mmoja wa hapa JF akanipigia simu ile Jumamosi jioni akinitaka tukutane New Maisha club (sijui ndio inavyoitwa hivyo...wenye kujua saidieni). Nikasita kidogo kwani kama nilivyosema mimi kujirusha sio zangu kabisa. Lakini kwa ajili yake nikakubali.

Nikajipiga sopusopu na baada ya hapo nikaingia kwenye mchuma huyo nikaenda kumpitia. Nikamkuta naye kajikwatua kwelikweli...naona hakutaka mchezo siku hiyo. Akaingia kwenye mkebe nami nikapiga moto chini. Nadhani allipenda cologne niliyokuwa nimepakaa maana usiku mzima hakuacha kunipa compliments....'mmm jamani Ngabu unanukia vizuri...umepakaa nini?'....'Aaah nimepakaa Cartier Roadster Sport exclusive kutoka Nieman Marcus'....akasema kwa mshangao 'wee Ngabu sikuwezi...yaani hata cologne unanunulia Nieman Marcus!!'

Kuifupisha hadithi ndefu, tukaingia zetu hapo Maisha. Tukajirusha....vinywaji vya hapa na pale...yeye ni mpenzi wa Long island iced tea na mimi mtu wa bia tu. Basi tukafurahia usiku wetu halafu tukaondoka. Alikuwa kachoka na hakutaka nimrudishe kwake. Basi tukaenda wote kwangu.

Tukafika nyumbani tukaenda moja kwa moja chumbani. Tukachojoa mavazi tukapanda kitandani. Mara mwenzangu akaniambia anasikia baridi....mwanamume nikajua leo hapa kitu na boksi. Basi nikaanza kumtomasa tomasa hapo na jambo moja likapelekea jambo jingine na hatimaye nikajikuta niko juu ya kiuno chake na kilichofuatia baada ya hapo tumia imagination yako.

Shughuli ikawa ndio imeanza kukolea sasa. Mazee nilikuwa nagusa engo zote...kaskazini, kusini, mangharibi (sio magharibi), mashariki, kaskazini mangharibi, kusini mashariki...yaaani wewe acha tu. Mashine yake ilikuwa bomba sijapata kuona. Inavyoelekea ilikuwa haijapenyezwa kwa muda maana kitu kilikuwa taiti.

Sasa wakati karibia nafikia kilele mara ghafla bin vuuu nikaamka toka usingizini bana. Baada ya kutahamaki nikagundua kumbe nilikuwa ndotoni bana....aisee niliudhika sana na nikabaki kufyonya na kutukana. Yaani yale maraha yote kumbe nilikuwa naota bana...aaah basi hata kulala sikuweza tena. Ikabidi niamke tu nianze kuangalia tivii na ku-browse JF.

Hiyo ndio ilikuwa ndoto yangu ya usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili. Narudi zangu kwenye maboksi na tutaonana tena mwezi Oktoba nitakaporudi kutumia haki yangu ya kikatiba siku ya 31 mwezi huo.

Hapa ndo lilipo lengo la stori, kwingine kote ni bla blah tu. Hongera sana kaka, kwa kujuza wana JF kwamba hadi Cologne huwa unanunua kutoka Nieman Marcus.. Kumbe Box zinalipa ...!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom