yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,897
- 3,336
Na ndo tunahangaika na semina sasahivi ya sensa ili tukipita kwenye makazi yao watupe details zao, kazi ipo kwakweliHawa ndo vijana tunaosubiri watupatie mawazo yao kwenye katiba mpya ya jamhuri