Savior ruther
Member
- Oct 15, 2017
- 14
- 12
Kuna kipindi fulani hivi kama mwezi wa 8 nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja hivi, kumbe bila ya mimi kujua yule binti ana HIV+ na siku tunafanya mapenzi alikuwa anasitasita nadhani nafsi yake ilimsuta kwa sababu sikuwa na condom, nilipoingiza tu mara moja hakutaka niendelee tena
Sasa juzi kati ndo napata habari kuwa yupo kwenye dozi.. Sasa wakubwa na wenye uzoefu katika maswala ya afya je huenda na mimi nitakuwa nmeshakuwa affected au lah..??
Natanguliza shukran na Mungu ambariki kila mmoja atakaye toa ushauri wake kwa moyo mmoja..