Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

Nimefanya naye mapenzi mara moja. Je, nitakuwa nimepata VVU?!

Nlkua kwenye hali kama yako, mawazo yalinikondesha, nikawa naumwa hovyo nkahisi nmeukwaa nikaomba Mungu nkaenda kupima, majibu yalikuwa mazuri, jioni yake yale magonjwa yote yakaisha, nakushauri ukapime lasivyo mawazo yatakuzid yataathiri afya yako. Omba Mungu afu nenda kapime
 
mkuu yani papuchi ui hangaikie then uingze na kuchomoa dah umetudanganya aisee

bt kama ni ukweli asilimia 90% utakua ujaambukizwa maana chance ndogo sana kutengeneza mchubuko hzo 10% nenda kapime upate uhakika
 
Daaah umenifanya nicheke sana mkuu unavyotetea chama ha ha ha ha
Eeeh bana kile chama kinafanya mtu unafikia malengo kimaisha mzee...unatunza pesa unajenga fresh.. Na mengineyo alafu unatafuta mmoja unazalisha baasi
 
Kama una mdude mkubwa Na hiyo maramoja umemchubua babu kazi unayo.....
Acha upotoshaji, kupata maambukizi kwa mwanaume ni mpaka mwanume uchubuke lakini si mwanamke.

Mtu unaweza mchubua mwanamke sana tu lakini wala wewe asichubuke hata kidogo na hivyo hakuna maambukizi hapo.
 
Ha ha ha ha ha mzalendo installer nimeongeza siku ha ha ha ha noma sana
Eeh bana ngono Inaleta umaskini aisee...unatumia pesa vibaya ili upate papuch tu alafu ukipata unaanza kujilaumu..bora kuboresha chama chetu tu
 
Mkuu kapime tu, ila kama ulifanya kama ulivyotujuza utakuwa poa, ila pia kama ulisimamia shoo bado waweza kuwa poa, ila kama una kauvivu cha kulala lala watch it shetani anacheza na future yako.
 
Acha kupiga lamli kwenye mambo ya kitaalamu.

Nenda kaifahamu kweli, nenda kituo cha afya kapime.
 
Back
Top Bottom