Savior ruther
Member
- Oct 15, 2017
- 14
- 12
acha uoga jiamini mzeeYah..kupima muhimu lakini mda mwingine roho inadunda kuliko kawaida
[emoji28] [emoji28] [emoji28] mbona unamtisha mwenzakoApo ndio utajua umuhimu wa chaputa.. Umeukwaa c mnajifanyaga vibolodinda
vipi hali ya mwili wako kwa sasa mkuu....Ahsante kwa ushaur wako
Si huwa wanakiponda chama[emoji28] [emoji28] [emoji28] mbona unamtisha mwenzako
Mkuu wapo watu wanawake kabisa ila wanafanya chaputa, ubaya wake ukifanya sana kama unavyofanya unapata madhara baadae mkuu.Si huwa wanakiponda chama
Na ukifanya sana ngono kama alivyofanya nayo unapata madhara papo hapo..kama hivyo mchizi kaungua tayari..ndio basi tenaMkuu wapo watu wanawake kabisa ila wanafanya chaputa, ubaya wake ukifanya sana kama unavyofanya unapata madhara baadae mkuu.
kapime mkuu lasivyo mawazo yatakutesaKuna kipindi fulani hivi kama mwezi wa 8 nilikuwa ktk mahusiano na binti mmoja hivi kumbe bila ya mimi kujua yule binti ana HIV+ na siku tunafanya mapenzi alikuwa anasitasita nadhani nafsi yake ilimsuka cz sikuwa na condom nilipoingiza tu mara moja hakutaka niendelee tena
Sasa juzi kati ndo napata habari kuwa yupo kwenye dozi.. Sasa wakubwa na wenye uzoefu katika maswala ya afya je huenda na mimi ntakuwa nmeshakuwa affected au lah..??
Natanguliza shukran na Mungu ambaliki kila mmoja atakaye toa ushauri wake kwa moyo mmoja..
Mm nko vzr japo nilipopewa hzo taarifa nkajihisi kuumwa ghaflavipi hali ya mwili wako kwa sasa mkuu....
Shukran sana aseekama uliingiza na kutoa ujapata ila kama ulisimamia kucha na style za mama mkanye mwanao huku 4g ya kufa mtu subiri miezi 3 ukacheki afya
uko vyema kuwa na imani
Ujapata=Hujapata.. kikanushi "h"kama uliingiza na kutoa ujapata ila kama ulisimamia kucha na style za mama mkanye mwanao huku 4g ya kufa mtu subiri miezi 3 ukacheki afya
uko vyema kuwa na imani
Kweli tena ilikuwa mara moja tu mara demu akagairiUtakuwa ulikpiga gemu ya uhakika na wala sio kuingiza na kutoa mara moja ndio maana unaogopa kupima. Nenda kapime hamna namna utakufa kwa pressure bure