Kulingana na huo utafiti nimegundua hizo neti ni za kutoa watu uoga wa kaburini. Wote tulishahudhuria mazishi sehem nyingi na kama bado wewe n zombie.
Jaribu kulala ukiwa umeangalia juu yaan umelalia mgongo mikono umenyoosha afu uvute hisia za marehemu uliyemuona akiwa ndan ya jeneza majibu bak nayo.
Sijavuta pomae wala kunywa bangi leo vyote niliacha mwaka kesho.