Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

Ndomana hua napendelea kupanda mwendokasi kila mtu natiketi yake ndounaingia hakuna mizinga
 
Hahahahhaa mtoa mada umenifurahisha sana looh
Huyo Konda nae alikuwa na lake jambo, we unamuoneshea kuwa akate mmoja kimya kimya yeye anajifanya haelewi ili utoe sauti. Hahahahaha.
Ila siku nyingine kuua soo na kutomfanya mdada ajisikie vibaya unamwambia konda ntakupa nauli yako hapa kwenye siti nimekaa vibaya a hahahahh ila husemi kama utamlipia dada au laah. Kisha saa ya kushuka unamwambia konda kata mmoja. Hahahahha

Au kuzuga ungejidau kumwambia bidada kwa lugha ya utani, daah nimekutana na wewe leo bora ntalipuwa nauli kisha unajikausha bosi ledi nilipie hehehehh
 
ndo maana naipenda mwendokasi.. yaani ukikutana na mtu huna hofu ya kumlipia nauli.
 
Hiyo ni kwako
 
[emoji121]
 
Hahahaahaaa huyo dada kiboko

Yani mimi nisivyopenda kugawa namba yangu, sitakagi hata kulipiwa nauli wala kuongeleshwa ovyo kwenye bus
 
Dah mwana wew ni kauzu zaidi ya dagaa yaan umemkazia demu wa watu bila hata aibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hujui kutunga story hata haueleweki
 
Upo sahihi kabisa,,tena yeye ndo ungemsakizia kuwa analipa ya wawili,,hawa viumbee mi sibembelezii kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…