Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

Hiyo nayo ni moja ya tofauti ya wanaume wa dar na wa mikoani hapo alitaka alipiwe yy mwanaume umariooo umewazidi
 
Mi nilikuwa sijauelewa uzi mpm pale ulipomuwakia konda. Mkuu mi sikulaumu kitu. Najua kosa la nani. Kosa ni la Mzee Ben na Msoga.
 
Tatizo la wadada wengi wamekariri mno swala la kusaidiwa saidiwa pindi wanapo kuwa na wenza wao au mwanaume hawa kumbuki hata wao wanaweza waka toa au waka saidia wenza wao na hii ni tabia mbaya
 
Nafikiri TAMWA na TGNP watakupa pongezi kubwa sana kwa kuweka mazingira ya wanawake kujifunza usawa wa jinsia, maanake inatakiwa ifikapo 2030 iwe 50 kwa 50.

Ila haujakosea kabisa ulichofanya kwani kila mmoja alikuwa na safari yake na bajeti yake ya nauli. Halafu umesema hamkuwa karibu wakati mnasoma wote. Halafu huyo dada atakuwa hajiheshimu kabisa na kitendo ulichofanya kimesaidia kukata mawasiliano na mtu wa ajabu, na kuelekea upande salama zaidi kifedha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…