KISHINDO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 2,165
- 1,906
Tunga yako tuone. Au ndo wewe uliyekasilika kwa kutokulipiwa nauli????Hujui kutunga story hata haueleweki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunga yako tuone. Au ndo wewe uliyekasilika kwa kutokulipiwa nauli????Hujui kutunga story hata haueleweki
Hahahahahahaha this made my dayNikaonesha tena kwa kidole ().![]()
Hapa kukaza tu.Punguza ubahili chifu!
Mzee Ben na mzee msoga nn, ndo chanzo cha raia kuwakazia sura watuMi nilikuwa sijauelewa uzi mpm pale ulipomuwakia konda. Mkuu mi sikulaumu kitu. Najua kosa la nani. Kosa ni la Mzee Ben na Msoga.
Huo ni uroho tu kwan yeye alikuwa hana nauli? Kwangu mim ningejisikia aibu kutomlipiaUmeshindwa kumlipia mia nne tu...
Kwa hiyo 'stori' inalipiwa?Ungemlipia mkuu. Si umetia nae stori.