Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu .
Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema katika majukwaa,"No reform,no election."
Kwani Lissu amekamatwa kwa sababu gani?
Toka lini Polisi wamehitaji sababu kumkamata mtu?
Hujaona watu wameachiwa na mahakama,wametoka nje wamekamatwa tena na Polisi?