covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
ukingalia kwa makini haya maandamano sio kama hao watoto wanareject hiyo financial bill au politics issue la hasha unaona ni maandamano ya mapinduzi ya kimfumo hawa vijana wanataka serikali ya kenya iendeshwe kileo na hili ni kutoka na viongozi wengi wa africa kutowatilia maanani vijana wadogo waliozaliwa 2000s ni tofauti sana na sisi tuliozaliwa 1990 hawa wamekuwa wameona teyari kuna maendeleo, kuna internet kuna Netflix, wana jua kinachoendelea usa on the spot... hawa ni vijana wasio na subra wanataka vitu vitokee au viongozi waact on the spot hawana chama, hawana issue za ukabila hawa hawana viongozi hawa wanakusanyana kupitia social media huko then wanaingia barabarani.
ni vigumu sana viongozi wetu hawa kudeal na design za kizazi kama hiki..!
hapa tanzania bahati yetu wananchi tuna badilika taratibu sababu ya mifumo yetu ila ni jambo la wazi kabisa watu wa kuwaifluence hawa vijana hawatakuwa wanasiasa watakuwa wasanii, na watu maarufu.