Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Hongera kijana, wewe ni wakuigwa na vijana wengine woteHabari za usiku huu.
Naitwa shelta ni kijana mwenye ndoto ya kufika jijini America lakini usiku huu nimeota niko California na nimeridhika kabisa kwa moyo wangu wote..
Hakika ni pazur panavutia sana niko na Snop Dogi anawasalimia sana.
Vijana acheni bangi mtumikieni Yesu.