Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

Demographia za mkoa wa Katavi pamoja na mgawanyiko wa idadi ya watu kwa umri, kutoka kwenye sensa rasmi, zinapatikana katika link hii hapo chini.

Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 watu waliozidi miaka 65 Katavi walikuwa takriban asilimia 2 tu.

Lakini pia, kitaifa, umri ambao Mtanzania wa wstani anategemewa kuishi (life expectancy) ni takribani miaka 66.

kweli namba hazidanganyi.
 
kweli namba hazidanganyi.
Nilitaka kuweka namba ili kisudi kwanza tuhakiki madai ya mtoa mada, tusiende kwa kukubali mambo kwa hisia tu.

Ukweli ninkwamba sehemu yenye maisha magumu, isiyo na mifumo ya social welfare, isiyo na huduma nzuri za afya, isiyo na social services za jueleweka, kukuta wazee wengi ni nadra sana.

Watu wakufa kabla ya kufikia uzee kwa magonjwa, kazi ngumu, lishe mbovu, ujinga, kukosekana kwa mifumo mizuri ya ya afya ya jamii, kukisekana kwa makazi bora, na vitu vingine vingi kama hivyo.
 
wahamiaji na kutokuwepo kwa wazee havina uhusiano
Labda maana yake ni kwamba wanaoweza maisha ya shuruba za kuhamahama wengi ni vijana, wazee wakishajiona wanakaribia kuaga dunia hawataki maisha ya shuruba za kuhamahama. Wanabaki sehemu walipoweka mizizi.
 
nimejiuliza
nikwamba life span ni ndogo.
au wazee walihama au wapo wapii

wataalumu wa demographics nipe
Hao uliowaona siyo wazee ndiyo wazee wenyewe.
Huko Katavi, lleje Bundali na Rukwa watu ni wa ajabu sana.
Mzee wa miaka 70 anaonekana kama vile ana miaka kati ya 45 na 50 hivi. Naamini uliowaona vijana, wengi wao ni wazee kabisaa
 
Back
Top Bottom