Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

Nimefika mkoa wa Katavi nimekuta idadi ndogo sana ya wazee

Sawa nipe hivyo vigezo nipo hapa nakusikiliza mkuu
Sawa.

Vipi kama nimeamua kwenda na namba kamili tu na kuondoa decimal place katika approximations zangu?

Yani nasoma namba kamili tu huko kwenye decimal sipachukui, hapo vipi?
 
Sawa.

Vipi kama nimeamua kwenda na namba kamili tu na kuondoa decimal place katika approximations zangu?

Yani nasoma namba kamili tu huko kwenye decimal sipachukui, hapo vipi?
Hapo bado -terminating decimal and repeating decimal zina maana yake huwezi ukaziacha kizembe hivyo unavuruga hesabu
 
Hivi Katavi kuna watu wanaishi?

Sijawahi kukutana na mtu akajitambulisha anatokea Katavi
Acha ushamba, wewe unatokea pori gani ambako hakuna mawasiliano hadi hujui kuhusu watu wa Katavi,?
 
Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo.

Au wazee walihama au wapo wapii?

Wataalumu wa demographics nipe
Labda wengi wao walikuwa na macho mekundu, ndio hivyo tena ikawa hivyo Sasa. Wanajua Wana katavi wenyewe. They can share their "best practices"
 
Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo.

Au wazee walihama au wapo wapii?

Wataalumu wa demographics nipe
Wazee wengi walishauliwa kwa uchawi si kama hawapo wapo ila misukule tu, waliobahatika kuwa hai ni kina Mizengo Pinda ambao wamekimbilia Dodoma na Dar.
 
Hapo bado -terminating decimal and repeating decimal zina maana yake huwezi ukaziacha kizembe hivyo unavuruga hesabu
Hesabu gani? Tatizo umekariri hesabu na mimi nimekuletea hesabu tofauti na wewe ukizokariri umechanganyikiwa.

Neno takribani halina tafsiri rasmi ya kimahesabu, inabidi lipewe muktadha.

Nimekupa muktadha nilioutumia huutaki unalazinisha muktadha wako kama vile kuna ulazima wa kufuata muktadha fulani.
 
hata huku niliko wazee ni wachache mno,..
 
Mimempa mimba dem wa mpanda
Nafurahi sasa nitaitwa Baba ..
 
Hesabu gani? Tatizo umekariri hesabu na mimi nimekuletea hesabu tofauti na wewe ukizokariri umechanganyikiwa.

Neno takribani halina tafsiri rasmi ya kimahesabu, inabidi lipewe muktadha.

Nimekupa muktadha nilioutumia huutaki unalazinisha muktadha wako kama vile kuna ulazima wa kufuata muktadha fulani.
Hapo nimekuelewa ila lazima decimal ziwepo
 
Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo.

Au wazee walihama au wapo wapii?

Wataalumu wa demographics nipe
Kwahiyo ulivyofika tu ndani ya mkoa kwq siku moja au saa moja ukafanya sensa na kubaini hayo?? Umetisha kijana!
 
Kwa nini lazima decimal ziwepo?

Mtu kashakwambia hataki senti, ikibaki senti chukua, yeye anataka shilingi tu.

Wewe bado unamlazimisha atake senti, kwa nini?
Mkuu weka na senti zangu hapo nina maana yangu
 
Back
Top Bottom