Sawa.Sawa nipe hivyo vigezo nipo hapa nakusikiliza mkuu
Hapo bado -terminating decimal and repeating decimal zina maana yake huwezi ukaziacha kizembe hivyo unavuruga hesabuSawa.
Vipi kama nimeamua kwenda na namba kamili tu na kuondoa decimal place katika approximations zangu?
Yani nasoma namba kamili tu huko kwenye decimal sipachukui, hapo vipi?
Acha ushamba, wewe unatokea pori gani ambako hakuna mawasiliano hadi hujui kuhusu watu wa Katavi,?Hivi Katavi kuna watu wanaishi?
Sijawahi kukutana na mtu akajitambulisha anatokea Katavi
Labda wengi wao walikuwa na macho mekundu, ndio hivyo tena ikawa hivyo Sasa. Wanajua Wana katavi wenyewe. They can share their "best practices"Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo.
Au wazee walihama au wapo wapii?
Wataalumu wa demographics nipe
Wazee wengi walishauliwa kwa uchawi si kama hawapo wapo ila misukule tu, waliobahatika kuwa hai ni kina Mizengo Pinda ambao wamekimbilia Dodoma na Dar.Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo.
Au wazee walihama au wapo wapii?
Wataalumu wa demographics nipe
Hesabu gani? Tatizo umekariri hesabu na mimi nimekuletea hesabu tofauti na wewe ukizokariri umechanganyikiwa.Hapo bado -terminating decimal and repeating decimal zina maana yake huwezi ukaziacha kizembe hivyo unavuruga hesabu
Hapo nimekuelewa ila lazima decimal ziwepoHesabu gani? Tatizo umekariri hesabu na mimi nimekuletea hesabu tofauti na wewe ukizokariri umechanganyikiwa.
Neno takribani halina tafsiri rasmi ya kimahesabu, inabidi lipewe muktadha.
Nimekupa muktadha nilioutumia huutaki unalazinisha muktadha wako kama vile kuna ulazima wa kufuata muktadha fulani.
Kwa nini lazima decimal ziwepo?Hapo nimekuelewa ila lazima decimal ziwepo
Kwahiyo ulivyofika tu ndani ya mkoa kwq siku moja au saa moja ukafanya sensa na kubaini hayo?? Umetisha kijana!Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo.
Au wazee walihama au wapo wapii?
Wataalumu wa demographics nipe
niko huku week zaid ya 3 sasaKwahiyo ulivyofika tu ndani ya mkoa kwq siku moja au saa moja ukafanya sensa na kubaini hayo?? Umetisha kijana!
Mkuu weka na senti zangu hapo nina maana yanguKwa nini lazima decimal ziwepo?
Mtu kashakwambia hataki senti, ikibaki senti chukua, yeye anataka shilingi tu.
Wewe bado unamlazimisha atake senti, kwa nini?
Senti zako kasema nani?Mkuu weka na senti zangu hapo nina maana yangu
Mizengo kayaanza PindaHivi Katavi kuna watu wanaishi?
Sijawahi kukutana na mtu akajitambulisha anatokea Katavi
Upó katavi sehemu ganiniko huku week zaid ya 3 sasa
Mizengo Pinda anatokea Katavi na ndiye aliyeshawishi uanzishwe huo mkoa.Hivi Katavi kuna watu wanaishi?
Sijawahi kukutana na mtu akajitambulisha anatokea Katavi
Jina Katavi ni kifupi cha kataa mvi, hivyo hauwezi kukuta wazee.Nimejiuliza nikwamba life span ni ndogo.
Au wazee walihama au wapo wapii?
Wataalumu wa demographics nipe
Npo nasubiria na mm nijiridhisheHivi Katavi kuna watu wanaishi?
Sijawahi kukutana na mtu akajitambulisha anatokea Katavi