Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

Sehemu niliyoona watoto in Singida......mapenzi yalizaliwa Tanga lakini watoto wazuri wanazaliwa Singida.
 
Yani wee ndo ulichoona tu baada ya kufika moro?
Kama ng'ombe afikapo bwawani kunywa maji anadhani maji ya mbele zaidi ndo matamu anazidi kusogea mbele kumbe bwawa moja tu
 
zungukia apa kionda bima mitaa ya samaki samaki
 
Npo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh, blessed morogoro
utakuwa hujawahi kufika sehemu zinginewe mi nilikaa moro almost siku tatu naona mademu wote wachafu wachafu dizain za wakulima tu,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…