usiwe fundi mbao au mbuzi dume.jali kilichokupeleka hukoZing zing zing chanxxxxxxx
Morogoro wanawake wengi wanajiuza ni wakutoka dar. La sivyo ni wanafunzi.
Wanaume wengi hupenda mwanamke mshamba mshamba, lakini alas!! Wanawake wa mjini hujifanya washamba kuibia watu.
Hata wanawake wote duniani wakilala hapo chini huwezi kuwamaliza. Utapiga kimoja tu uanze kuzungusha macho.
Ningekuwa wewe ningehakikisha nafanya bidii kwenye masomo. Ningehakikisha kama ni lazima namtafuta wife hapo hapo chuoni.
Usiwe fundi Mbao ambaye kila Mbao anataka kupiga msumari.