Nimefika Morogoro aise kuna madem sana huu mkoa

usiwe fundi mbao au mbuzi dume.jali kilichokupeleka huko
 
Hivi Kahumba Night Park na Chipukizi bado zipi,hizi sehemu enzi zetu (earl2000) wanawake walikuwa wanajiuza kwa bei ya nyanya...usikuwa na mchana....
 
Daaah.... Inawezekana ndo unakuwa, hicho ndicho kilichokupeleka chuo. madem wapo tu dogooo kaza msuli kwanza..
 
Naskia wanawake wengi moro hata wasiyojiuza hawajui kusema hapana.
 
Ukitoka hapo Mazimbu nenda town pale Kaumba pia uchukue,ukiwamaliza hao nenda wa Msamvu,ukitoka huko nenda pale Down Town ukachukue pia,bdae nenda Mo town au Viber ukachukue pia………… Malizia kwa kwenda hospital ya mkoa ukapime ngoma kisha rudi Sua ukachukue gpa yako ya 2.0 urudi kwenu matombo ukatafute ajira
Npo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh, blessed morogoro
 
Npo Hapa Moro Kwa Masomo Hapa Mazimbo ,aise Nktembea Pande Za Town Xaba7 watoto wakali kila kona aixe duh, blessed morogoro
hao wa sabasaba wamepanga hadi vyumba, wametoka kanda nyingi kuanzia babati, singida, arusha, moshi, maeneo mengi. wanajiuza wengine wanakaa hadi barabarani unaenda kunegotiate bei wakiona hela ndogo unawaacha. nakushauri kuna maeneo mengine hapo wamepanga nyumba zima ukiingia ndani wapo wengi watakubaka na utatoka hauna kitu, labda uende na chenji kabisa ukiingia na vumba la hela wananyang'anya na huwezi kupiga kelele kwasababu hakuna atakayeamini uliingia kufanya nini huko na kama wanawake wanaweza kukufanyia hayo. unaporwa halafu ukileta za kuleta wewe ndo unapigiwa kelele unawabaka...wananchi watakakotoka huko hautaamini.
 
hahaaaa
 
hatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…