Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Siyo Tabora tu haya mambo yapo karibia miji yote hapa TZ
 
Mkuu si bora Tabora, hivi ulisha wahi kufika mkoa wa Lindi? πŸ₯²[emoji23]
Ubora gani Tabora?: ushamba! Mauaji! au uvivu! kamji kadogo ukienda kidogo tu nyumba za tope[emoji1]
 
Huyu jamaa haijui Tabora.

Mhhhh! Huyo uliemjibu anasema nini kuhusu Mwanza! Yani tabora kuna maghorofa kuzidi Mwanza the biggest second city after dar! Anaijua vizuri Mwanza! Labda tabora ailinganishe na Arusha, tanga n.k.
 
Tabora , hakuna bodaboda ni mwendo wa baiskeli mpaka shipa likutoke
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Kwa akili zako za kijinga unazania mji ni Magorofa?
 
Haswa maana wakati wa kurudi nilisoma jengo moja la bodi ya korosho kusini.
Nami nilifika hapo. Pako local kweli. Kuna lounge moja nimeisahau jina. Ndio pekee angalau pa kishua ambapo wajanja wa Mtwara wanaenda. Paa la makuti. Sijajua kama wameshabadili
 
Umenikumbusha mwaka 1999 nilipoenda Lindi kwa mara ya kwanza. Tulifika usiku wa manane, nikapata Lodge. Asubuhi nikauliza Tax ili inipeleke mkoani nilikokuwa natakiwa kwenda, nikaambiwa hakuna Tax!! Nikaambiwa niende stend kuna jamaa mmoja mstaafu ana ki land-rover 109 short chasis ndiyo anabeba watu kama tax daaah..
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Waambie wakupeke ipuli ukachome nyamwa za mbuzi
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
Acha na Majengo bado haujaona wanawake wanye migongo ya hatari hasa hapo karibu Uhazili
 
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.

🀣🀣🀣🀣🀣

Ukachokaje?! πŸ˜†πŸ˜†
 
Hiyo ndio daladala mpaka leo zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…