ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wapi hakuna Ardhi yenye rutuba? Hali ya hewa ipi hiyo? Mbona Tabora Ina watu wengi kushinda Morogoro Kwa nini wasikimbilie huko Morogoro kwenye Hali ya hewa nzuri?Usifananishe na moro na vitu vya hovyo....Moro kuanzia hali ya hewa na ardhi yenye rutuba.mm ni msukuma lakini sehem nazo zipenda ni Mwanza,moro na dar mbeya nayo naikubali ila si kivile
Hakuna Mkoa ambao hauna fursa Tanzania hii,Mikoa mingine ilicheleweshwa Kwa sababu za miundombinu ya uchumi