We jamaa huwa una tabia kama za Mwajuma.
Unatumia hisia kuliko akili.
Embu stop being too emotional tizama facts.
Kwani nimesema kuwa Tabora haikui ama Tabora hakuna majengo mapya??
Nimezungumzia pull factors kijana.
Tabora tuelezee tu uhalisia hazina pull factors za kutosheleza kusema mji ukue kwa kasi inaotakikanika.
Ni kama ilivyo Dodoma ni kwasababu tu ni mji wa serikali ila kiuhalisia Dodoma kwa pull factors ni mji butu vile vile.
Morogoro kuna sababu vutishi nyingi za kimazingira na kiuchumi.
Hizo ni sababu vutishi kuu mbili za kuvutia watu kujazana katika mji na kuukuza mji.
Huwezi fananisha Tabora na Morogoro katika shughuli za utafutaji na mazingira mazuri never huwezi.
Uwe unaelewa uache kutumia hisia badala ya akili.