Hey mtaitwa central siku hizi kitu kidogo tu central,ukihisiwa central halaf hata kuja kukutembelea nooma naweza kamatwa na mie,,,kwa hiyo yaishe tu[emoji28] [emoji28] [emoji28] toa povu had la huko chini kabisa am out of ua nonsense get a life
Hahaaaaaaa dina umenichekesha kweli, maana huko central si mchezo.Hey mtaitwa central siku hizi kitu kidogo tu central,ukihisiwa central halaf hata kuja kukutembelea nooma naweza kamatwa na mie,,,kwa hiyo yaishe tu
sawa nkoi, ntondo. ndoho tabhu tukwiwonaN
tuzu nolo Ng'wanza? Nalala nakusoma ntondo e comment jimwe .USIKU MWEMA KAKA PATTO USIKU MWEMA OIA KESHO NITAKUCHEKI
Tatizo hata ukipita pale central makonda asipoipenda harufu yako nawe unawekwa ndani,,jamani tujiepushee sitaki mpelekwe huko [emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaaaa dina umenichekesha kweli, maana huko central si mchezo.
Yaishe mwayaaa Jestinacant argue with me idiot!cheerio,umeishia kusema natoa povu,jiangalie ulivyoanza kama muuza gongo,msonyooooo kafie mbele huko
Hahaaaaa mi shajiepusha SAA nyingi, hata ukijiepusha makonda ka ana shida na wewe atatafta tu sababu ukae ndani, so awamu hii ni kujiandaa tu.Tatizo hata ukipita pale central makonda asipoipenda harufu yako nawe unawekwa ndani,,jamani tujiepushee sitaki mpelekwe huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana .ngoja ulale leo.nitakutoa kwa dhamana kesho..kabla wale wa makonda awaja ingia keshonko central rafiki
Mpaka kina james wameitwa,tuwe watulivu ahahahahah haeleweki yulee,si mtu wa sport sportHahaaaaa mi shajiepusha SAA nyingi, hata ukijiepusha makonda ka ana shida na wewe atatafta tu sababu ukae ndani, so awamu hii ni kujiandaa tu.
Naomba msiingize siasa kwenye uzi wangu wapendwa. Jukwaa la siasa mnalifahamu, naomba msinifukuzie mke mwema kwenye Love Connect. AsanteniHahaaaaa mi shajiepusha SAA nyingi, hata ukijiepusha makonda ka ana shida na wewe atatafta tu sababu ukae ndani, so awamu hii ni kujiandaa tu.
Nendeni jukwaa la siasa ndugu. Hapa mimi natafuta mke.Pole sana .ngoja ulale leo.nitakutoa kwa dhamana kesho..kabla wale wa makonda awaja ingia kesho
Yani ni hatari ukiona wenzako wanakamatwa ukachekelea ujue nawe IPO cku this time no one is safe labda sijui awe deshi deshi tu. Wema na kutukana kote kipindi cha campaign ndani kalala vzuri tu.Mpaka kina james wameitwa,tuwe watulivu ahahahahah haeleweki yulee,si mtu wa sport sport
Hahaaaaaaa babu wewe tuache tujimwaye wenzako mke mwema atakufata huko PMNaomba msiingize siasa kwenye uzi wangu wapendwa. Jukwaa la siasa mnalifahamu, naomba msinifukuzie mke mwema kwenye Love Connect. Asanteni
Acha kuwa seriously Kiasi hicho mzee..Tuseme umekosa mkee Mtaani uko..Achana Na awa wa mitandao kijanaNendeni jukwaa la siasa ndugu. Hapa mimi natafuta mke.
Mkuu heshima kitu cha bure. Nenda jukwaa la siasa. AliyeniPM ndio kaniambia hapendi comment zako za siasa kwenye uzi ulinikutanisha nae.Yani ni hatari ukiona wenzako wanakamatwa ukachekelea ujue nawe IPO cku this time no one is safe labda sijui awe deshi deshi tu. Wema na kutukana kote kipindi cha campaign ndani kalala vzuri tu.
Sikukuomba ushauri mkuu. Kama wewe hauko serious, basi ni maisha uliyochagua. Mimi huu ni uzi wangu, usitambie hapa. Asante kwa kuelewa.Acha kuwa seriously Kiasi hicho mzee..Tuseme umekosa mkee Mtaani uko..Achana Na awa wa mitandao kijana
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mkuu heshima kitu cha bure. Nenda jukwaa la siasa. AliyeniPM ndio kaniambia hapendi comment zako za siasa kwenye uzi ulinikutanisha nae.
Mwambie huyo maisha si magumu kama anavoyapa ugumuAcha kuwa seriously Kiasi hicho mzee..Tuseme umekosa mkee Mtaani uko..Achana Na awa wa mitandao kijana
Aliyenifata PM hapendi siasa. Please heshimu maamuzi yake, hataki comment za siasa kwenye huu uzi maana tunampango wa kuuchapishia Journal...sasa haitapendeza ikiwa na comment za siasa. it should be all about Looove.Hahaaaaaaa babu wewe tuache tujimwaye wenzako mke mwema atakufata huko PM
Utajiju naye bwana ka hapendi anywe sumuAliyenifata PM hapendi siasa. Please heshimu maamuzi yake, hataki comment za siasa kwenye huu uzi maana tunampango wa kuuchapishia Journal...sasa haitapendeza ikiwa na comment za siasa. it should be all about Looove.
Dah inaonekana una roho mbaya sana dada yangu.Utajiju naye bwana ka hapendi anywe sumu