Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

Hey mtaitwa central siku hizi kitu kidogo tu central,ukihisiwa central halaf hata kuja kukutembelea nooma naweza kamatwa na mie,,,kwa hiyo yaishe tu
Hahaaaaaaa dina umenichekesha kweli, maana huko central si mchezo.
 
Tatizo hata ukipita pale central makonda asipoipenda harufu yako nawe unawekwa ndani,,jamani tujiepushee sitaki mpelekwe huko [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaaaa mi shajiepusha SAA nyingi, hata ukijiepusha makonda ka ana shida na wewe atatafta tu sababu ukae ndani, so awamu hii ni kujiandaa tu.
 
Mpaka kina james wameitwa,tuwe watulivu ahahahahah haeleweki yulee,si mtu wa sport sport
 
Naomba msiingize siasa kwenye uzi wangu wapendwa. Jukwaa la siasa mnalifahamu, naomba msinifukuzie mke mwema kwenye Love Connect. Asanteni
 
Yani ni hatari ukiona wenzako wanakamatwa ukachekelea ujue nawe IPO cku this time no one is safe labda sijui awe deshi deshi tu. Wema na kutukana kote kipindi cha campaign ndani kalala vzuri tu.
 
Hahaaaaaaa babu wewe tuache tujimwaye wenzako mke mwema atakufata huko PM
 
Mkuu heshima kitu cha bure. Nenda jukwaa la siasa. AliyeniPM ndio kaniambia hapendi comment zako za siasa kwenye uzi ulinikutanisha nae.
 
Acha kuwa seriously Kiasi hicho mzee..Tuseme umekosa mkee Mtaani uko..Achana Na awa wa mitandao kijana
Sikukuomba ushauri mkuu. Kama wewe hauko serious, basi ni maisha uliyochagua. Mimi huu ni uzi wangu, usitambie hapa. Asante kwa kuelewa.
 
Hahaaaaaaa babu wewe tuache tujimwaye wenzako mke mwema atakufata huko PM
Aliyenifata PM hapendi siasa. Please heshimu maamuzi yake, hataki comment za siasa kwenye huu uzi maana tunampango wa kuuchapishia Journal...sasa haitapendeza ikiwa na comment za siasa. it should be all about Looove.
 
Utajiju naye bwana ka hapendi anywe sumu
 
Back
Top Bottom